Lady Gaga na Kanye West.
Mwanamuziki Lady Gaga amewaomba watu waoneshe upendo kwa Rapa Kanye West katika kipindi hiki kigumu alichonacho licha ya kutounga mkono vitendo vya rapa huyo na amemsifia kwa ujasiri wake wa kukatisha ziara yake ili kushughulikia mambo yanayomkabili.