Madee amtaka Tunda amtunzie mahari yake Madee Msanii wa bongo fleva Madee amesema muda wake wa kuoa bado na hawezi kuoa kwa sababu wenzake wameoa au kwa sababu Tunda kamuahidi kumtolea mahari bali ataoa atakapokuwa tayari kufanya hivyo. Read more about Madee amtaka Tunda amtunzie mahari yake