Maxence Melo asomewa mashitaka, arudishwa rumande

Maxence Melo akifikishwa mahakamani leo

Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jamii Forums Maxence Melo Mubyazi aliyekuwa anashikiliwa na polisi, amefikishwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam na kusomewa mashtaka matatu mbele ya mahakimu watatu tofauti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS