Ongezeko kubwa la watu laitisha wizara ya afya Dkt. Hamis Kigwangalla Ongezeko kubwa la idadi ya watu kila mwaka nchini Tanzania imeipa hofu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto nchini katika kushugulikia changamoto za afya zinazoikabili sekta hiyo Read more about Ongezeko kubwa la watu laitisha wizara ya afya