Simba yatema wawili, yamsaka Athanas wa Stand
Klabu ya Simba imetangaza marekebisho madogo ya usajili iliyoyafanya katika dirisha dogo la usajili lililofungwa leo ambapo imewaacha rasmi Golikipa mua-Ivory Coast Vicent Agban na kiungo kutoka Kongo Mussa Ndusha.

