David Kafulila. Aliyewahi kuwa mbunge wa Kigoma Kusini kupitia NCCR-Mageuzi David Kafulila amekihama chama hicho na kujiunga na CHADEMA kuanzia leo. Read more about David Kafulila.