Maelfu ya vijana Tanzania waelimishwa kuhusu SGD's
Umoja wa Mataifa ikishirikiana na Umoja wa Ulaya umeweza kuwafikia vijana katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania kuwaelimisha kuhusu malengo ya maendeleo endelevu SDG’s na vilevile kusikia kile ambacho kinawatatiza.