Hatimaye Njombe yapata hospitali ya rufaa
Serikali mkoani Njombe imesaini mkataba wa kuchukua Hospitali ya Kibena ambayo awali ilikuwa ya Halmashauri ya Mji wa Njombe na sasa kuwa kuwa kuwa hospitali ya rufaa ya mkoa kwa muda wakati mkoa ukiendelea na ujenzi wa hospitali yake