Ijue sababu ya 'Wakali Kwanza' kuondoka Mj Records Makamua Msanii wa muziki wa bongo fleva ambaye ni mkali kwenye miondoko ya RnB kutoka Wakali Kwanza, Makamua, leo ameweka wazi sababu ya wao kuachana na MJ Records na watu waliowatoa kwenye game. Read more about Ijue sababu ya 'Wakali Kwanza' kuondoka Mj Records