Tanzania kinara vita dhidi ya ukatili kwa watoto
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Sihaba Nkinga amesema Tanzania ni nchi pekee barani Afrika ambayo imechaguliwa kama nchi ya kuigwa kwenye juhudi za dunia kupambana ukatili wa wanawake na watoto.