Nitapumzika lakini sitaacha muziki - Ally Choki Ally Choki Jumamosi hii mwanamuziki wa dansi nchini tanzania Ali Choki ametimiza miaka 30 ya muziki wake na amewashukuru wasanii ambao alishirikiana nao katika kipindi chote hicho cha muziki wake. Read more about Nitapumzika lakini sitaacha muziki - Ally Choki