Waziri Nape 'aipa tano' EATV AWARDS

Waziri Nape Nnauye

Waziri wa Habari Sanaa na Michezo, Mh, Nape Moses Nnauye, amesema ana imani na tuzo za EATV, kuwa zitaleta hamasa na changamoto kubwa kwenye tasnia ya sanaa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS