Roma avurugwa na mashabiki Roma Msanii wa Hip Hop kutoka Bongo, Roma Mkatoliki, amesema anashangazwa na kitendo cha mashabiki kupenda zaidi muziki wa nje kuliko ule wa wasanii wa hapa nyumbani. Read more about Roma avurugwa na mashabiki