Kikosi kipya 'beach soccer' chaingia kambini
Meneja wa timu ya Taifa ya Mpira wa Ufukweni Deo Lucas ametaja kikosi cha wachezaji 12 ambacho kitaingia kambini kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda mchezo utakaopigwa Desemba 9 mwaka huu jijini Dar es salaam