Halmashauri za Afrika Mashariki vinara wa rushwa
Imebainika kuwa halmashauri za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, zinaongoza katika kujihusisha masuala ya rushwa jambo linalokuwa changamoto kubwa katika vita ya kupambana na rushwa licha ya jitihada kubwa zinazofanywa na nchi wahusika.