Taifa halijengwi kwa sheria kali - Warioba
Waziri mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba amesema maadili ya taifa lolote hayajengwi kwa sheria kali bali yanajengwa kwa jamii kusimamamia maadili huku viongozi wakitumia sheria hizo kutoa miongozo mbalimabli katika jamii husika.