Serikali yatoa bilioni 40 kwa ajili ya dawa

Waziri Mkuu baada ya kuwasili Jijini Arusha, akipokelewa na viongozi wa mkoa wa huo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema hadi kufikia sasa, serikali imekwishaipatia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto shilingi bilioni 40 kwa ajili ya ununuzi wa dawa na vifaa tiba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS