Serikali yapiga marufuku utoaji zabuni kiholela
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI),Mhe. Seleman Jafo amepiga marufuku utoaji wa zabuni kwa wakandarasi ambao hawana ofisi zinazowatambulisha katika maeneo yao.