Magufuli aagiza majeshi kujenga viwanda

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Tanzania, Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameyataka majeshi yote hapa nchini yajipange kuendana na sera ya ujenzi wa viwanda kwa kuhakikisha viwanda vya kutengeneza mahitaji yanayoweza kupatikana hapa nchini

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS