Serikali yatangaza kigezo cha uandishi wa habari

Nape Nnauye

Serikali imetangaza kuwa kiwango cha chini cha taaluma anayopaswa kuwa nayo mwandishi wa habri kuwa ni 'Diploma ya Uandishi wa Habari' kwa mujibu wa kanuni za sheria mpya ya hunda za habari zilizokamilika utungaji wake hivi karibuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS