Watu 80 mbaroni kwa dawa za kulevya Arusha ACP Charles Mkumbo - Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Jeshi la Polisi Mkoani Arusha, limenasa watuhumiwa 80 wanaojihusisha na mtandao wa dawa za kulevya akiwemo askari Polisi mmoja mwenye namba 6978 Koplo zakayo, ambaye anashikiliwa kwa mahojiano. Read more about Watu 80 mbaroni kwa dawa za kulevya Arusha