Lissu, Masha wanunua kesi ya kupinga uchaguzi TLS
Baadhi ya wagombea wa nafasi ya urais kupitia kwa chama cha wanasheria wa Tanganyika TLS wanatarajia kuwasilisha maombi ya kujumuishwa kama wadaiwa katika kesi ya kupinga kufanyika kwa uchaguzi wao uliopangwa kufanyika tarehe 18 ya mwezi huu