Rummy afichua sababu ya kuhusishwa na 'ngada'

Msanii wa bongo fleva Rummy

Msanii wa bongo fleva Rummy ambaye sasa ametoa wimbo uitwao 'Mwari' akiwa na Linah amefunguka na kusema watu wamekuwa wakimuhusisha na biashara ya dawa za kulevya kutokana na muonekano wake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS