Raia 7 wa China watimuliwa nchini
Idara ya Uhamiaji Kanda ya Dar es Salaam, imewataka raia 7 wa China kuondoka nchini kutokana na kukiuka taratibu sheria za ukazi, huku raia mmoja wa Uganda akishikiliwa kwa kuwa na hati 15 za kusafiria za Burundi na Madagascar kinyume cha Sheria