Nay wa Mitego amchana Godzilla Rapa Nay wa Mitego mwenye 'hit song' ya 'Mikono Juu' amefunguka na kumchana Godzilla kuwa yeye hawaimbii wasanii wenzake kama anavyofikilia bali anajua nini mashabiki zake wanachokihitaji. Read more about Nay wa Mitego amchana Godzilla