Wavaa nusu utupu wapatiwa kazi Mkuu wa Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, Rehema Madusa, ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani humo kuwakamata na kuwapa adhabu ya kufyatua tofali vijana wanaovaa mavazi yasiyokuwa na staha hadharani. Read more about Wavaa nusu utupu wapatiwa kazi