Serikali kuwachunguza wafanyakazi
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema takribani wafanyakazi 20 akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Wanawake Magreth Chacha, wanachunguzwa na Takukuru kutokana na kukosa uadilifu na kuisababishia hasara benki hiyo.