TP Mazembe kuwa wafalme wa Afrika ?
Bara la Afrika leo linatarajia kupata mfalme wa soka kwa msimu wa 2016/17, ambapo Wydad Casablanca ambao ni washindi wa ligi ya mabingwa Africa pamoja na TP Mazembe, mabingwa wa kombe la shirikisho watakutana kumsaka mshndi wa jumla.

