Zitto Kabwe aachiwa huru Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameachiwa huru kwa dhamana ya Polisi yenye thamani ya Milioni 50 muda huu baada ya kulala mahabusu tokea jana (Alhamisi) usiku. Read more about Zitto Kabwe aachiwa huru