Baada ya Birthday Neymar aachwa Baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa siku ya jana alipotimiza miaka 26, nyota wa PSG Neymar J ameachwa kwenye kikosi cha timu hiyo kilichosafiri kuivaa Sochuax kwenye mechi ya Kombe la Ufaransa. Read more about Baada ya Birthday Neymar aachwa