Aishtaki Hospitali kwa kutumia sehemu zake za siri Mwanaume mmoja nchini Kenya ameishtaki hospitali ya Agha Khan kwa kutumia nyeti zake kuwafundishia wanafunzi wa kike wanaosoma udaktari kinyume na matakwa yake. Read more about Aishtaki Hospitali kwa kutumia sehemu zake za siri