Viongozi zaidi ya 900 Tanzania kuhakikiwa mali zao
Kamishana wa maadili nchini Jaji Mstaafu Harold Nsekela amesema zoezi la urudishaji fomu za tamko la rasilimali na madeni limefanikiwa kwa asilimia 80 na kwamba sasa viongozi 946 watakwenda kuhakikiwa mali zao.