Marekani na Korea Kaskazini yamebaki masaa Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wamewasili Singapore kwa ajili ya mkutano wao unaoelezwa kuwa wa kihistoria unaotaraji kufanyika kesho Jumanne. Read more about Marekani na Korea Kaskazini yamebaki masaa