Shamsa Ford ajitoa muhanga Msanii wa filamu nchini Shamsa Ford amefunguka na kujitoa muhanga wa maisha yake kwa kile alichokieleza kuwa haogopi kuonekana mbaya kwa binadamu wa aina yoyote katika hii dunia kadri siku zinavyozidi kusonga mbele. Read more about Shamsa Ford ajitoa muhanga