Nyosso na Yondani wanavyosubiriwa kwa hamu Yanga Muda mfupi baada ya kuelezwa kuwa Klabu ya Yanga imemshusha nchini straika Marcellina Koupko kutoka Benin, mashabiki wa timu hiyo wamendeelea kumuulizia beki wa kati Juma Nyosso. Read more about Nyosso na Yondani wanavyosubiriwa kwa hamu Yanga