Kushoto ni mchezaji Job Ibrahim na kulia ni Ayoub Siwelo Mwenyekiti wa kamati ya usajili Lipuli FC.
Klabu ya Soka ya Lipuli ya mkoani Iringa imekamilisha usajili wa mchezaji, Job Ibrahim kutoka Ndanda Fc ya Mtwara kwa mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu hiyo.