Magufuli awatwisha mzigo baraza la CCM
Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amelitaka Baraza la Wadhamini la chama hicho kuhakikisha CCM inanufaika na mali zake na kuachana na utegemezi wa kuomba misaada kutoka kwa watu.