Viongozi wa Njombe Mji wanyoosha mikono
Kamati ya utendaji ya klabu ya Njombe mji imeikabidhi timu hiyo kwa chama cha mpira wa miguu mkoa wa Njombe (NJOREFA), kwaajili ya usimamizi kutokana na viongozi wa timu hiyo kumaliza muda wao na wengine kujiuzulu.