''Mimi ndio niliamua hivyo'' - Masoud Djuma
Baada ya klabu ya soka ya Simba kufungwa mabao 2-1 na Azam FC kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Kagame hapo jana usiku, kocha wa Simba Masoud Djuma amesema mashabiki hawatakiwi kulalamika kwa kutokuwepo baadhi ya wachezaji wa kikosi cha kwanza.