''Nampenda Sholo Mwamba'' - Manfongo

Sholo Mwamba kushoto na Man Fongo kulia

Msanii wa Singeli Manfongo amejitokeza na kusema kwamba yeye anampenda sana Sholo Mwamba na anamchukulia kama ndugu yake na anasikia amani kusikia bifu lao limeisha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS