Kijana wa miaka 21 ambaka bibi wa miaka 85 Makao makuu ya jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro. Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Koka Moita amethibitisha kuwa wanamshikilia Daniel Colner mwenye umri wa miaka 21 kwa tuhuma za kumbaka bibi kizee wa miaka 85. Read more about Kijana wa miaka 21 ambaka bibi wa miaka 85