CHADEMA yazungumzia sakata la Kubenea na Komu
Baada ya kuvuja kwa sauti inayodaiwa kuwa ya wabunge wa CHADEMA, Antony Komu wa Jimbo la Moshi Vijijini na Saed Kubenea wa Ubungo wakijadili namna ya kumuondoa katika nafasi yake meya wa manispaa ya Ubungo Boniface Jacob kwa maelezo kuwa ni mpambe wa mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe