"Wanaolipwa ni wenye magunia chini ya 15" - Mbunge
Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani S Katani
Mbunge wa Jimbo la Tandahimba, Katani S Katani ameendelea kulalamikia utaratibu uliotumika na serikali katika kuwalipa wakulima wa korosho, ambapo amedai kuwa utaratibu huo una makosa.