Wafanyabiashara Mbeya wabomoa vibanda vyao

Kushoto ni baadhi ya Vibanda vinavyobomolewa na kulia ni Mkuu wa mkoa Albert Chalamila.

Wamachinga jijini Mbeya wametekeleza agizo la Mkuu wa mkoa huo Albert Chalamila la kuvunja vibanda vyao walivyojenga nje ya soko la kuu la Mwanjelwa kabla ya saa 10:00 jioni leo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS