Salum Mwalimu azungumzia kukamatwa na kupigwa

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar), Salum Mwalimu.

Baada ya Polisi mjini Mafinga mkoani Iringa Jumapili ya Disemba 16, kumkamata na baadaye kumwachia, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar), Salum Mwalimu, mwenyewe amefunguka kuwa kilichofanyika ni uonevu dhidi ya demokrasia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS