TFF yaigomea Yanga usaili wa wagombea
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka nchini Tanzania TFF kupitia kwa Mwenyekiti wake, Ally Mchungahela imekataa ombi la Kamati ya Uchaguzi ya Yanga ambayo iliomba kuahirishwa kwa usaili wa wagombea na badala yake zoezi la uchukuaji fomu kuanza upya.