Haji Manara (kushoto), Dismas Ten (katikati), Masau Bwire (kulia)
Mwaka 2018 umekuwa na mafanikio makubwa katika soka la Tanzania, umeshuhudiwa kukua kwa sekta ya habari katika soka, hali iliyopelekea umaarufu wa baadhi ya wasemaji wa vilabu mbalimbali vya Ligi Kuu.