Waziri apiga marufuku wanaouza ardhi
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya makazi, William Lukuvi amewataka wananchi wa Kijiji cha Mapogolo mkoani Iringa kuacha kuuza ardhi kiholela kwasababu hali hiyo inaweza kusababisha ongezeko la umasikini kutokana na wananchi kukosa ardhi kwa ajili ya kilimo.