Sababu za Kagame kuwaachia huru wapinzani wake

Rais wa Rwanda Paul Kagame

Ilhali kukiwa na muendelezo wa matukio ya kuachiwa kwa viongozi wa upinzani nchini Rwanda, imeelezwa kuwa nchi hiyo imelazimika kufanya hivyo kwa ajili ya kupata uwanja mpana zaidi wa kuandaa mkutano wa 26 wa nchi za jumuiya za madola mwaka 2020 (Commonwealth Heads of Goverment 2020).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS