Mtolea aliipenda CCM zaidi ya CUF

Aliyekuwa Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea.

Kitendo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Temeke, Abdallah Mtolea kuhamia Chama Cha Mapinduzi na kujivua nyadhifa zake ndani ya chama cha Wananch CUF huenda kikawa ni kitu ambacho alikuwa akitamani kwa muda mrefu kutokana na kauli zake hapo awali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS